Kiungo fundi Haruna Niyonzima amekuwa kwenye kiwango bora sana. Tangu kuanza kwa mwaka 2019, Niyonzima amekuwa mchezaji wa kutegemewa wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Mbelgiji Patraick Aussems
Niyonzima ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao inamalizika na tayari mazungumzo ya kumuongezea mkataba yameanza
Akiwa miongoni mwa wachezaji walioisaidia Simba kutwaa ubingwa wa pili mfululizo ligi kuu ya Tanzania Bara, hakuna shaka, ataendelea kubaki Msimbazi
Kiungo huyo wa zamani wa APR, amekiri juu ya kuanza kwa mazungumzo ya mkataba mpya
“Kwa sasa hivi siwezi kuweka kila kitu wazi, muda utakapofika taarifa zitawekwa hadharani, ngoja tumalizie msimu huu kwanza,” alisema Niyonzima
Juzi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Mohammed Dewji ‘Mo’ alisema Bodi hiyo ilikuwa ikisubiri ripoti ya kocha Patrick Aussems ili kuanza michakato ya usajili
Inaelezwa tayari Aussems ameshawasilisha ripoti hiyo
Beki Zana Coulibaly ameshindwa kufikia matarajio ya wengi licha ya kupewa muda wa kutosha kuonyesha makali yake
Beki huyo raia wa Burkina Fasa amepoteza kujiamini, akicheza chini ya kiwango katika michezo ya hivi karibuni
Jana katika mchezo dhidi ya Sevilla, Coulibaly alikumbana na wakati mgumu kutoka kwa baadhi ya mashabiki waliokuwa wakimzomea mara kwa mara kila alipogusa mpira
Kocha Patrick Aussems alimfanyia mabadiliko kwenye kipindi cha pili na nafasi yake kuchukuliwa na Nicholas Gyan
Zana alisajiliwa Simba akiwa na matarajio ya kuziba pengo la Shomari Kapombe ambaye bado yuko nje tangu mwishoni mwa mwaka jana alipopata majeraha wakati akiitumikia timu ya Taifa
Beki huyo huenda akawa miongoni mwa wachezaji watakoachwa katika kikosi cha Simba
Jana Simba nusura iondoke na ushindi wa kihistoria dhidi ya Sevilla katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Taifa ukimalizika kwa Sevilla kushinda mabao 5-4
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems alifanya mabadiliko ya wachezaji tisa kwenye kipindi cha pili, mabadiliko yanayotajwa kupunguza kasi ya Simba na kupoteza uongozi wa mchezo huo baada ya kuruhusu mabao matatu ndani ya dakika 10
Kocha Mkuu wa mabingwa hao wa Tanzania Bara Patrick Aussems ametetea uamuzi wake akisema ilikuwa muhimu kwa kila mchezaji kupata nafasi kwani ulikuwa ni mchezo wa kihistoria kwa wachezaji wa Simba
“Nilitaka kila mchezaji acheze dhidi ya timu bora kama ya Sevilla,” Aussems aliwaambia waandishi wa habari
“Niliona ni fursa ya kila mchezaji kuweza kucheza mchezo huu dhidi ya Sevilla ili kuweza kupata Uzoefu zaidi ndio maana niliwapa nafasi wachezaji karibia wote kucheza mechi hii kubwa na ya kihistoria dhid ya klabu bingwa mara tano ligi ya Europa”
Simba iliongoza mchezo huo kwa muda mrefu lakini ikapoteza mchezo mwishoni
Mabao ya Simba yalifungwa na John Bocco (2) aliyeibuka nyota wa mchezo, Meddie Kagere na Clatous Chama
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Haji Manara AFUNGUKA Kilichofanya Sevilla Wakarudisha Magoli Yote na Kuifunga Simba
From @hajismanara – Kocha bila shaka alikuwa anataka kuwapa nafasi wachezaji wengi zaidi ila imetugharimu kdogo but tumepata uzoefu mkubwa na kocha wetu atatumia mechi hii kama kipimo kwa ajili ya Timu yake
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo May 24, 2019,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzani.
Liverpool, Manchester United na Arsenal wanataka kumsaini mchezaji nyota wa Colombia James Rodriguez,27,ambaye anatarajiwa kuondoka Bayern Munich mkataba wake wa mkopo utakapokamilika msimu huu. (Mirror)
Rais wa Bayern Munich president Uli Hoeness amethibitisha kuwa mabingwa hao wa Bundesliga wanamtaka winga wa Manchester City Mjerumani Leroy Sane. (Suddeutsche Zeitung – in German)
City wanajiandaa kuweka dau la kumnunua nyota huyo wa miaka 23 kutoka kwa miamba hao wa ujerumani ambalo linatarajiwa kuvunja rekodi. (Mail)
Arsenal wanataka kumsaini winga Ryan Fraser, 25, baada ya fainali ya ligi ya Europa, lakini Bournemouth wanataka kulipwa £30m kumwachilia kiungo huyo wa kimataifa wa Uskochi. (Independent)
Tottenham wamewasiliana na Real Madrid ili kuanza mazungumzo ya kutaka kumnunua kiungo wa kati Marco Asensio, 23, lakini wameambiwa mchezaji huyo rai wa Uhispania hapatikani. (AS – in Spanish)
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionMarco Asensio (Kulia)
Kocha wa Newcastle Rafael Benitez amewambia Marseille na Roma kuwa kipaumbele chake ni kukubali mkataba mpya St James Park baada ya wao ku kuonesha ari ya kutaka kumpatia kazi ya umeneja. (Chronicle)
Wachezaji Matteo Darmian, 29, Romelu Lukaku 26, Juan Mata, 31, na Marcos Rojo – huenda wakondoka Manchester United msimu huu(Mirror)
Inter Milan itatangaza ofa ya zaidi ya £30m winga wa Croatia winger Ivan Perisic, 30, ili kumnunua Lukaku. (Gazzetta dello Sport – in Italian)
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionIvan Perisic
Manchester City wanataka £15m kumuuza kiungo wa kati Fabian Delph, huku vilabu kadhaa vya ligi ya Premier vikimnyatia nyota huyo wa miaka 29. (Sun)
Mshambuliaji wa Crystal Palace sChristian Benteke, 28, huenda akaondoka Selhurst Park msimu huu baada ya kukubali dau la £15m la kumnuuza nyota huyo wa kimataifa wa Ubelgiji kutoka klabu ya China ya Shandong Luneng Taishan. (Times – subscription required)
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionChristian Benteke(Kulia)Napoli wanatarajiwa kumsaini beki wa kulia- kushoto wa Tottenham Kieran Trippier, 28, huku Mwingereza huyo akipewa idhini ya kukubali ofa nzuri. (Independent)
Manchester United wanatarajiwa kumsaini mshambuliaji mshambuliaji Dillon Hoogewerf baada ya kucheza mechi ua vijana wa Ajax. (Metro)
Arsenal ni moja ya vilabu vinavyofuatilia mchezo wa mshambuliaji Danny Loader, 18 raia wa Ungereza. (Goal)
Haki miliki ya pichaSNSImage captionKocha wa Leicester, Brendan Rodgers (Kulia)Meneja wa Leicester Brendan Rodgers anatathmini uwezekano wa kuungana tena na winga Patrick Roberts, ambaye alicheza chini yake wakati alipokua Celtic. (Sun)
Napoli wanatarajiwa kumsaini beki wa kulia- kushoto wa Tottenham Kieran Trippier, 28, huku Mwingereza huyo akipewa idhini ya kukubali ofa nzuri. (Independent)
Manchester United wanatarajiwa kumsaini mshambuliaji mshambuliaji Dillon Hoogewerf baada ya kucheza mechi ua vijana wa Ajax. (Metro)
Arsenal ni moja ya vilabu vinavyofuatilia mchezo wa mshambuliaji Danny Loader, 18 raia wa Ungereza. (Goal)
Haki miliki ya pichaSNSImage captionKocha wa Leicester, Brendan Rodgers (Kulia)Meneja wa Leicester Brendan Rodgers anatathmini uwezekano wa kuungana tena na winga Patrick Roberts, ambaye alicheza chini yake wakati alipokua Celtic. (Sun)
Simba Yapokea Kichapo cha Bao 5 kwa 4 Kutoka kwa Sevilla, Walianza Vizuri na kuongoza kwa magoli mpaka karibia dakika 90 lakini Sevella wakatumia dakika za nyongeza kurudisha magoli mawili waliyokuwa nyumba…