
credit: @sokaonline_…
Breaking News | Aliyekuwa kiungo wa klabu ya Simba Sc James Kotei amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.

credit: @sokaonline_…
Breaking News | Aliyekuwa kiungo wa klabu ya Simba Sc James Kotei amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.

Kiungo huyo mwenye asili ya Zambia jana amemalizana na simba baada ya kuongeza mkataba wa miaka 2 kuitumikia timu hyo

credit: @sports extra
Mchezaji mwingine kutoka Brazil mwenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya beki wa kati na kiungo mkabaji, Gerson Fraga Vieira (26) amesaini mkataba wa miaka miwili na Mabingwa wa nchi. @g.fragav ambaye amewahi kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya wachezaji chini ya miaka 17 ya Brazil iliyokuwa na wachezaji maarufu kama Neymar, Philippe Coutinho, Casemiro na golikipa Alisson, pia alicheza timu ya Taifa ya wachezaji chini ya miaka 20 na alicheza klabu kadhaa za Brazil ikiwepo Grêmio amejiunga na klabu yetu akitokea ATK FC ya India. #NguvuMoja

credit: @emmanuelokwi…
Thank you all for lifting us. It is because of your support that we fly. And this award goes to the whole team. One Team One Dream #EO7 #GODABOVEALL #TOQUITISNOTANOPTION

credit: @sokawaytz…
OFFICIAL!! Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Klabu ya Simba SC Imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji wa Kimataifa wa Brazil, Wilker Henrique Da Silva.
.
– Da Silva Wilker mwenye umri wa miaka 23 amejiunga na Simba SC kwa Mkataba wa Miaka Miwili akitokea klabu ya Bragantino ya nchini kwao Brazil…
#TPLTransferUpdates
@Sokawaytz

credit: @sokaonline_…
#Repost @simbasctanzania Kiungo Bora mara mbili mfululizo wa Ligi Kuu ya Sudan na mchezaji wa timu ya Taifa ya Sudan tangu akiwa na miaka 17 akitokea kwa mabingwa mara tatu mfululizo wa Ligi Kuu ya Sudan klabu ya Al Hilal, Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman amejiunga na Mabingwa wa nchi kwa mkataba wa mwaka mmoja. Karibu Msimbazi Sharaf.

credit: @sokaonline_…
Beki wa kati Kennedy Wilson Juma amesaini mkataba wa miaka miwili Simba Sc akitokea Singida Utd .

credit: @sports extra
Nahodha msaidizi wa klabu ya Simba Sc Mohamed Hussein amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo kwa mara nyingine. .
.
Beki huyo alisaini kabla ya safari ya kuelekea Misri kwenye majukumu ya timu ya Taifa.

credit: @sports pesa
#Usajili Mshambuliaji wa klabu ya Simba Sc Meddie Kagere amemalizana na klabu ya Zamalek kuhusu masuala binafsi ili kujiunga nayo msimu ujao ambapo klabu hiyo ya Misri imekubali kulipa kiasi cha Bilioni 1.2 kwenda kunako klabu ya Simba Sc. .
.
Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.

credit: @sokawaytz…
– Kiungo bora wa kati na kipenzi cha Wanasimba, Jonas Gerald Mkude ni rasmi sasa kuwa ataendelea kuwa sehemu kikosi cha Mabingwa hao wa Tanzania @simbasctanzania baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia..
#Updates #transfers
