![]()
credit: @90sportsplus…
Beki wa lipuli Haruna Shamte amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu yake ya zamani Simba @haruna_shamte (AFSA NKAI NGOBESE)
..
..
..
![]()
credit: @90sportsplus…
Beki wa lipuli Haruna Shamte amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu yake ya zamani Simba @haruna_shamte (AFSA NKAI NGOBESE)
..
..
..

credit: @90sportsplus…
DEAL DONE|
Mshambuliaji hatari @emmanuelokwi amejiunga na club ya Itthad fc ya nchini misri kwa mkataba wa miaka 2 akitokea @simbasctanzania kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake msimu uliopita.
Kila la kheri @emmanuelokwi โ
..
..
..

_…
Idrissa Gueye amefaulu vipi vipimo vya afya Paris Saint-Germain na atasaini mkataba wa miaka minne (4) na maamuzi ya kuongeza kwa miaka mitano(5) tena. Na ada ya ya uhamisho ni ยฃ27m [โฌ30m].

credit: @sokaonline_…
#DealDone Klabu ya Proline FC ya Uganda imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Yanga Sc na Simba Sc Hamis Diego Kiiza akitokea Vipers Fc ya nchini humo.

credit: @sokawaytz…
– Jarida la @marca hivi punde limeripoti Kwamba Mshambuliaji wa Kimataifa wa Wales, Gareth Bale ana Masaa tu kukamilisha uhamisho wake wa kutimkia Ligi Kuu Nchini China ๐จ๐ณ, ndani ya Klabu ya Jiangsu Suning kwa Mkataba wa Miaka Mitatu akitokea Real Madrid ya Hispania!…
.
– Bale anatarajia kupokea Mshahara wa ยฃ1m kwa kila Wiki sawa na Tshs 2b na Kila Mwaka Katika Kipindi atakachokuwa na Klabu hiyo atakuwa akiingiza โฌ22m kwa kila msimu ambayo Ni sawa na Tshs 56b… ๐๐.
#TransferNewsUpdates
@Sokawaytz_

credit: @sokawaytz…
OFFICIAL: Beki wa Kimataifa wa Ubelgiji, Thomas Vermaelen amekamilisha Usajili wake wake wa kujiunga na Klabu ya Vissel Kobe ya Nchini Japan ๐ฏ๐ต!!..
.
– Vermaelen 33, kajiunga Kama Mchezaji huru Baada ya Kumalizika kwa Mkataba wake na Mabingwa wa Hispania Klabu ya FC Barcelona… Katika timu yake mpya anakutana na Wachezaji wengine waliopita zamani FC Barcelona, Andres Iniesta, Sergi Samper na David Villa..
#TransferNewsUpdates
@Sokawaytz_
credit: @mstvonline…
@psg imekubali kulipa ยฃ28m kumsajili kiungo wa kimataifa wa #Senegal Idrissa Gueye, 29, kutoka @everton (Mail)
.
.
Follow @mstvonline .
#sokaonline #sokaliveupdates #SportsHQ #nakuru #chombokwahewa #tumewasha #simbanguvumoja #SimbaSc #NguvuMoja #millardayoupdates #millardayosports #Michezo #michezoonlineupdates #full_sokatzupdates #dailysporttz #dailySportt #shaffihdaudawebsite #shaffihdauda #90sportsplusupdates #gueye #psg
credit: @sokawaytz…
DONE DEAL: Arsenal Imethibitisha Kumsajili Kiungo wa Kimataifa wa Hispania, Dani Ceballos kutoka Real Madrid kwa mkopo wa msimu Mmoja… Arsenal pia Imethibitisha kuwa Nyota huyo Atavaa jezi yenye Namba Nane (8) Katika Kipindi atakachokuwa na Klabu hiyo..
๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Ian Wright
๐ธ๐ช Freddie Ljunberg
๐ช๐ธ Mikel Arteta
๐ด๓ ง๓ ข๓ ท๓ ฌ๓ ณ๓ ฟ Aaron Ramsey
๐ช๐ธ Dani Ceballos ๐
:
๐ Ceballos mhispania mwingine Anavaa jezi yenye Namba Nane ndani ya The Gunners!.
#transfersUpdates #EPLTransfersUpdates
…
– FC Barcelona na Borussia Dortmund wanazungumza kuhusu uhamisho wa Mshambuliaji wa Kimataifa wa Brazil ๐ง๐ท, Malcom, Mazungumzo hayo ambayo klabu ya Bundesliga italazimika kulipa โฌ42m (ยฃ38m / $47m).
.
– Malcom ana kifungu cha โฌ180m (ยฃ160m / $200m) kuvunja mkataba wake wa sasa na Mabingwa hao wa La Liga, lakini Barรงa Imeripotiwa kuwa ipo Tayari kuongeza โฌ1m Katika dau walilo mnunua Nyota huyo โฌ41m kutoka Klabu ya Ligue 1 Nchini Ufaransa, Bordeaux..
.
– Wakati huo huo AS Roma iliyoporwa tonge mdomoni kwa Mchezaji huyo bado wanamtaka tena, Lazio nao na Arsenal ambao walipowasilisha ombi waliambiwa walipe โฌ71m ๐๐!!.
#TransferNewsUpdates
@Sokawaytz_

credit: @peterjosephmdee19…
Kamusoko ajiunga na Zesco United
Kiungo wa zamani wa Yanga, Thaban Kamusoko amesajiliwa na klabu ya Zesco United kwa mkataba wa miaka mitatu.
.
.