Beki wa Kati wa azam mwantika amerudishwa nchini misri Kuziba pengo la agrey Moris alieumia

credit: @sokawaytz…

– Beki wa Klabu ya Azam FC, David Mwantika (Kushoto) amerudishwa nchini Misri tayari kuungana na kikosi cha Taifa Stars kuzipa pengo la Aggrey Morris aliyeumia katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Misri… Mwantika ni miongoni mwa wachezaji waliokatwa katika kikosi cha Awali kilichotajwa na kocha Emmanuel Amunike kujiandaa na Michuano ya AFCON..

#TotalAFCON2019

Timu za zimbabwe ili fanya mazoezi kujiandaa na Afcon

credit: @sokawaytz…

– The Warriors… Timu ya taifa ya Zimbabwe imeendelea na mazoezi yake ikiwa ni Maandalizi ya mwisho mwisho kabla ya Ijumaa hii kuzindua fainali za Mataifa ya #AFCON2019 dhidi ya Wenyeji Misri… Mashujaa hao wanafanya mazoezi ndani ya Dimba la El Sekka El Hadid Sadium..

#TotalAFCON2019

Kiungo wa zamani wa Tanzania prison said mtupa afariki dunia

credit: @sports extra_…

#Repost @tzprisonsscofficial T A N Z I A

Kwaniaba ya Uongozi mzima wa Timu ya Tanzania Prisons Sports Club tuna majonzi makubwa ya Kuondokewa na aliyekua kiungo wa zamani wa Tz Prisons SAID MTUPA aliepata ajali ya pikipiki hapo jana jioni maeneo ya Iwambi nje kidogo ya jiji la mbeya.

.

.

Tunatoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na wadau wa michezo nchini

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala Pema peponi AMINA!!!! #RIPSAIDMTUPA

#RIPSOLDIER

#PrisonsConfidence

Matokeo ya soka jana na ratiba ya leo

credit: @sports extra

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAPILI NA RATIBA YA HII LEO:

:

– Copa America – Group B.

FT Paraguay 2 – 2 Qatar

.

– Copa America – Group C.

FT Uruguay 4 – 0 Ecuador

.

– World Cup Women – Group F

FT Sweden 5 – 1 Thailand

FT USA 3 – 0 Chile

.

– CONCACAF – Gold Cup:: group B

FT Haiti 2 – 1 Bermuda

FT Costa Rica 4 – 0 Nicaragua

.

– International – Friendlies.

FT Morocco 2 – 3 Zambia

FT Nigeria 0 – 1 Senegal

FT Tanzania 1 – 1 Zimbabwe

FT Algeria 3 – 2 Mali

FT Egypt 3 – 1 Guinea

.

– Euro U-21 – Group A.

FT Poland U21 3 – 2 Belgium U21

FT Italy U21 3 – 1 Spain U21

:

RATIBA YA HII LEO JUMATATU.

– Copa America – Group C

02:00 Japan

Chile

.

– World Cup Women – Group A

22:00 Korea Republic

Norway

22:00 Nigeria

France

.

– World Cup Women – Group B

19:00 China

Spain

19:00 South Africa

Germany

.

CONCACAF – Gold Cup:: group C

02:00 Curacao

El Salvador

04:30 Jamaica

Honduras

.

International – Friendlies

21:15 Tunisia

Burundi

.

– Euro U-21 – Group B

19:30 Serbia U21

Austria U21

22:00 Germany U21

Denmark U21

#Updates #fixtures

@Sports extra

Lazio Yamtaka Samata kwa €16

credit: @sports extra _…

Klabu ya SS Lazio ya Italy ipo tayari kutoa kiasi cha €16m ambacho ni sawa na bilioni 40 ili kupata saini ya nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji. .

.

Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwenye mtandao wa The Laziali wa nchini humo umeripoti kuwa tayari klabu hiyo imeliweka jina la Samatta kwenye orodha ya wachezaji itakaowasaka kwa namna yoyote kuhakikisha inapata saini yake. .

.

Dau hilo huenda likawa na nguvu kubwa hasa baada ya baadhi ya timu za uingereza kumhitaji Samatta kwa dau dogo ambalo ni €12m