Aishi manula aondolewa kwenye timu ya taifa baada ya majereha kuemdelea kumsumbua

credit: @90sportsplus…

Rasmi Golkipa wa Simba Sc Aishi Manula @28_manula ameondoshwa rasmi katika kikosi cha Timu ya Taifa kitakacho cheza na Kenya katika raundi ya Pili kufuzi CHAN baada ya majeraha kuendelea kumsumbua.

Mbadala wake ameitwa aliyekuwa golkipa wa Lipuli Fc Mohammed Yusuph ambae amesajiliwa na Polisi Tanzania.

Golkeepers @taifastars_ | Juma KasejaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Batshuayi bado yupo sana Chelsea

credit: @sokawaytz…

πŸ‘‰πŸ» Michy Batshuayi anatarajia kusalia Chelsea msimu huu na kupiganiana nafasi dhidi ya Tammy Abraham na Olivier Giroud katika kikosi Cha kwanza kama mshambuliaji mkuu wa kocha, Frank Lampard.

.

πŸ‘‰πŸ» Chelsea wanatumikia marufuku yao ya kusajili Wachezaji kwa dirisha hili na linalokuja, lakini hawateteleki kwa kiasi kuhusu Hilo Ni Baada ya kuwa na rundo la Wachezaji Vijana waliowekezwa na Klabu hiyo, ndani ya Academy yao na wengine walitolewa kwa mkopo Vilabu Mbalimbali takribani 40+… The blues imefanya Usajili wake kwa Wachezaji wawili tu, Christian Pulisic na Kiungo, Matteo Kovacic Ambaye alicheza kwa mkopo klabuni hapo hivyo ikawa ruksa kumsajili na Pulisic alisajiliwa Mwezi January kabla ya kufungo kuwakuta.

.

πŸ‘‰πŸ» Tammy Abraham amerejea kutoka kwa mkopo Aston Villa na Michy Batshuayi amerejea kutoka kwa mkopo Crystal Palace… Kinda mwingine Mason Mount karejea kutoka kwa mkopo Derby County na ana uhakika kusalia na The Blues msimu huu Baada ya kufanya vema Katika Mechi za Pre-Seasons..

#EPLUpdates

@Sokawaytz_

Ronaldo ataka mafanikio zaidi

credit: @sokawaytz…

– Mshambuliaji wa Klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo amesema kuwa ana uhakika Miamba hao wa Serie A, Juventus watashinda Ligi ya Mabingwa Ulaya, akisisitiza kuwa Ubingwa “unakuja”.

.

– Baada ya mataji nane mfululizo ya Serie A, Juve bado wanaangaika kutafuta mafanikio ya Ulaya kufuatia medali tano za washindi wa pili tangu ushindi wao wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa mnamo mwaka 1996..

.

– Hivi Karibuni, Juventus wamekuwa wakipigwa fainali tu, dhidi ya Barcelona mnamo 2015 na pia dhidi ya Madrid mnamo 2017, Madrid ambayo ilikuwa na Ronaldo ambapo alifunga magoli mawili kwenye fainali..

#championsleague #Juventus #cristianoronaldo

@Sokawaytz_

Balle kukimbilia japan

credit: @sokawaytz…

– Jarida la @marca hivi punde limeripoti Kwamba Mshambuliaji wa Kimataifa wa Wales, Gareth Bale ana Masaa tu kukamilisha uhamisho wake wa kutimkia Ligi Kuu Nchini China πŸ‡¨πŸ‡³, ndani ya Klabu ya Jiangsu Suning kwa Mkataba wa Miaka Mitatu akitokea Real Madrid ya Hispania!…

.

– Bale anatarajia kupokea Mshahara wa Β£1m kwa kila Wiki sawa na Tshs 2b na Kila Mwaka Katika Kipindi atakachokuwa na Klabu hiyo atakuwa akiingiza €22m kwa kila msimu ambayo Ni sawa na Tshs 56b… πŸ˜‹πŸ˜‹.

#TransferNewsUpdates

@Sokawaytz_

Matokeo ya jana ijumaa na ratiba ya leo

credit: @sokawaytz…

MATOKEO YA SOKA JANA IJUMAA NA RATIBA YA HII LEO:

:

– Belgium – First Division A

FT Genk 2 – 1 Kortrijk

.

– International – Champions Cup.

FT Real Madrid 3 – 7 Atletico Madrid

.

– African Nations Championship – CHAN Qualification.

FT Djibouti 0 – 1 Ethiopia

FT Comoros 0 – 2 Namibia

FT Botswana 0 – 0 Zambia

.

– International – Club Friendlies.

FT K-League All Stars 3 – 3 Juventus

FT Freiburg 2 – 0 Kayserispor

FT Kasimpasa 3 – 2 Puskas FC Academy

FT Antalyaspor 0 – 0 Fatih Karagumruk

FT Freiburg 9 – 1 Kayserispor

FT Denizlispor 2 – 1 Eskisehirspor

FT Augsburg 2 – 6 Villarreal

FT 1. FC KΓΆln 3 – 1 Bologna

FT RasenBallsport Leipzig 2 – 0 Rennes

FT Nantes 0 – 1 Brest

FT NEC Nijmegen 2 – 1 RKC Waalwijk

FT ADO Den Haag 1 – 1 OH Leuven

FT Fleetwood Town 1 – 0 Preston North End

FT Nottingham Forest 2 – 2 Real Sociedad

FT West Bromwich Albion 0 – 0 AFC Bournemouth

:

RATIBA YA HII LEO JUMAMOSI:

– Netherlands – Super Cup.

19:00 Ajax

PSV Eindhoven

.

– Belgium – First Division A.

19:00 Cercle Brugge

Standard Liege

21:00 Zulte Waregem

KV Mechelen

21:00 St.Truiden

Royal Excel Mouscron

21:30 Waasland-Beveren

Club Brugge

.

– African Nations Championship – CHAN Qualification

16:00 Burundi

South Sudan

18:00 Somalia

Uganda

19:00 Guinea-Bissau

Mali

21:30 Cape Verde

Mauritania

#fixtures #Updates

@Sokawaytz_