Azam wakaribia Kumkosa Nicolas wadada

credit: @sokawaytz_…

– Kwa Kumbukumbu, Wadada alisaini Mkataba wa Mwaka Mmoja kuitumikia Azam FC… Labda Kama alisaini Mkataba Mpya kimya kimya na haikuwekwa wazi… Lakini Miamba hao wa Ethiopia πŸ‡ͺπŸ‡Ή wameonesha Nia ya kutaka huduma na Nyota huyo wa @ugandacranes.

#TransferNewsUpdates

Muamuzi wa Uganda kuamua mechi Kati ya Tanzania vs Kenya kuelekea chan

credit: @sokawaytz_…

✍🏻 CAF, imemtangaza Refferee, Brian Nsubuga Miiro kuwa mwamuzi wa Kati akisaidia na Mwamuzi msaidizi namba Moja, Ronald Katenya, Mwamuzi Msaidizi namba mbili ni Lee Okello. CAF Pia imemtangaza Alex Muhabi kuwa mwamuzi wa Akiba na Kamishina wa Mchezo CAF Imemtangaza Gaspard Kayijuka kutoka nchini Rwanda.

:

✍🏻 Hii ni mechi ya kisasi kwa Tanzania kwani inaingia ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza Kwa kipigo cha Magoli 3-2 katika mechi ya mwisho walipokutana katika Michuano ya Kombe La Mataifa ya Afrika hatua ya Makundi nchini Misri mwezi Uliopita..

#CHAN

@Sokawaytz_

Yanga yajitapa kufanya maajabu msimu ujao

credit: @simbamakini…

YANGA YAAHIDI KUFANYA MAAJABU AFRIKA

Uongozi wa klabu ya Yanga umejinasibu kufanya vizuri katika michuano ya klabu bingwa Afrika (CAF) msimu ujao kuliko ilivyowahi kufanya misimu iliyopita.

Yanga tayari imetuma CAF majina 26 ya wachezaji jana ambayo imewasajili kwa ajili ya michuano hiyo.

Kaimu Katibu mkuu wa klabu hiyo, Dismas Ten amesema kwa wachezaji waliowasajili msimu huu wana matumaini ya kufanya makubwa katika michuano hiyo ya CAF pamoja na ligi ya nyumbani. “Jana tumetuma majina 26, CAF ya wachezaji ambao tumewasajili msimu huu, matumaini yetu ya kufanya vizuri ni makubwa sana,” alisema Ten.

Wachezaji wanao ongoza kwa kufunga magoli Afcon

credit: @sokawaytz_…

✍️ Wachezaji Wanne tofauti wanaongoza Msimamo wa kufunga Magoli mengi katika Fainali za AFCON zinazoendelea Ambapo Sasa Ni hatua ya Robo fainali..

:

✍🏻 RATIBA ya Mechi za Robo fainali ya AFCON 2019 hii leo.

πŸ“… Julai 10; 2019

19:00 Benin πŸ‡§πŸ‡― v Senegal πŸ‡ΈπŸ‡³ (🏟 30 June Stadium).

22:00 Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ v South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ (🏟 Cairo Int’l Stadium).

#AFCON2019 #TotalAFCON2019 #AFCONUpdates

Neymar agoma kwenda mazoezini

credit: @sokawaytz_…

June 2011: Cesc Fabregas hakutokea mazoezini ndani ya Arsenal kulazimisha kujiunga na @fcbarcelona.

:

June 2017: Ousmane Dembele hakutokea mazoezini ndani ya Borussia Dortmund kulazimisha kujiunga na @fcbarcelona.

:

July 2017: Philippe Coutinho hakutokea mazoezini ndani ya Liverpool kulazimisha kujiunga na @fcbarcelona.

:

Julai 07, 2019: Antoine Griezmann hakutokea mazoezini ndani ya Atletico Madrid kulazimisha kujiunga na @fcbarcelona.

:

Julai 08,2019 : Neymar Jr hakutokea mazoezini ndani ya PSG kulazimisha kujiunga na @fcbarcelona.

@fcbarcelona RAHA πŸ˜€πŸ˜€

#TransferNewsUpdates

Gadiel Michael asajiliwa simba sc

credit: @dimbani_leo…

EXCLUSIVE: SIMBA YAMALIZANA NA NYOTA WATATU WA YANi

GADIEL Michael sasa rasmi ni mchezaji wa Simba akitokea Yanga ambapo amesaini kandarasi ya miaka miwili.

Gadiel anaungana na wachezaji wenzake wawili na kufikisha jumla ya wachezaji watatu ambao wametoka Yanga.

Wengine ni Ibrahim Ajib ambaye alikuwa nahodha wa kikosi cha Yanga pamoja na Beno Kakolanya ambaye alikuwa ni mlinda mlango wote wamesaini kandarasi ya miaka miwili.