Neymar agoma kwenda mazoezini

credit: @sokawaytz_…

June 2011: Cesc Fabregas hakutokea mazoezini ndani ya Arsenal kulazimisha kujiunga na @fcbarcelona.

:

June 2017: Ousmane Dembele hakutokea mazoezini ndani ya Borussia Dortmund kulazimisha kujiunga na @fcbarcelona.

:

July 2017: Philippe Coutinho hakutokea mazoezini ndani ya Liverpool kulazimisha kujiunga na @fcbarcelona.

:

Julai 07, 2019: Antoine Griezmann hakutokea mazoezini ndani ya Atletico Madrid kulazimisha kujiunga na @fcbarcelona.

:

Julai 08,2019 : Neymar Jr hakutokea mazoezini ndani ya PSG kulazimisha kujiunga na @fcbarcelona.

@fcbarcelona RAHA 😀😀

#TransferNewsUpdates

Gadiel Michael asajiliwa simba sc

credit: @dimbani_leo…

EXCLUSIVE: SIMBA YAMALIZANA NA NYOTA WATATU WA YANi

GADIEL Michael sasa rasmi ni mchezaji wa Simba akitokea Yanga ambapo amesaini kandarasi ya miaka miwili.

Gadiel anaungana na wachezaji wenzake wawili na kufikisha jumla ya wachezaji watatu ambao wametoka Yanga.

Wengine ni Ibrahim Ajib ambaye alikuwa nahodha wa kikosi cha Yanga pamoja na Beno Kakolanya ambaye alikuwa ni mlinda mlango wote wamesaini kandarasi ya miaka miwili.

Polisi tanzania yazidi kujiimarisha kiusajili

credit: @sokawaytz_…

OFFICIAL | Klabu ya JKT Tanzania imeendelea kusuka Kikosi chake kuelekea msimu moya wa ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukamilisha Usajili wa Beki Iddy Mobby kwa Mkataba wa Mwaka mmoja. Msimu uliopita kiraka huyo alichezea Mwadui FC.

.

– Wakati huo huo, Hassan Nassor Maulid amejiunga na Polisi Tanzania kwa mkataba wa Miaka Miwili akitokea Ndanda FC ya Mtwara ambayo Wachezaji wake waliokuwa nao msimu uliopita wanazidi kupukutika..

#TPLTransferUpdates #TPLUpdates

Kocha mkuu wa misri atimuliwa kuifundisha timu hiyo baada ya kipigo cha jana

credit: @sokawaytz_…

👉 Jana Baada ya Mechi Ujumbe wa kocha wa @pharaohsofficial Javier Aguirre kwa mashabiki wa Misri:

:

🗣️ “Sisi tuna huzuni sana kuhusu hili na tutajaribu na tutafakari kesho kile kilichosababishwa na kutenda sawasawa kwa siku zijazo”.

:

🗣️ “Sina uamuzi wowote juu ya kama nitaendelea kukaa kama kocha. Tunahitaji kujadili hili na Shirikisho la Misri.

:

– Hakuna Majadiliano, Sasa Ni Rasmi Shirikisho la Soka Nchini Misri limemfuta kazi Kocha wao huyo wa Timu yao ya taifa Raia wa Mexico, Javier Aguirre pamoja na benchi Zima. Kocha ambaye alikuwa na Mkataba Kuwaongoza Mafarao hao mpaka mwaka 2022… Aguirre kaisaidia Misri Kufuzu AFCON 2019 na kumaliza hatua ya Makundi bila kupoteza game hata moja wakishinda zote kutoka Kundi A wakiwa Kama wenyeji, Walifuzu 16 Bora na Jana waliondoshwa bila kutegemea mbele ya Afrika Kusini walioshinda 1-0 mbele ya umati wa Mashabiki wa Misri.

.

– Nae Rais wa Chama cha soka cha Misri (EFA), Hani Abou Rida ametangaza kujiuzulu Mara moja baada ya kumfuta kazi kocha mkuu wa timu ya taifa ya Misri, Javier Aguirre..

#AFCONUpdates

@Sokawaytz_

Uganda wavunja mkataba na Kocha mkuu wa Uganda cranes Sebastiane desabre

credit: @sokawaytz_…

#BREAKING

Shirikisho la Soka Nchini Uganda “FUFA” limevunja Mkataba na Kocha Mkuu wa Uganda Cranes, Sebastien Desabre Kwa makubaliano maalumu.

:

– Katika Taarifa ya Shirikisho hilo wamesema kuwa “FUFA inatambua mchango wa Kocha Desabre kwa kuboresha timu kimichezo na kitaaluma katika Kikosi Cha Uganda Cranes ikiwa ni pamoja na kufuzu kwa AFCON 2019 huko Misri na pia kufika hatua ya 16 Bora kisha kuondoshwa hatua hiyo.

:

– Sebastien Desabre Raia wa Ufaransa, anatajwa kuwa Ni chaguo Namba moja kwa Mabosi wa Klabu ya Al Ahly. Kutimuliwa huku itakuwa nafasi kwake kujiunga na Mabingwa hao wa Kihistoria Barani Afrika..

@sokawaytz_

Marcelo asaini yanga

credit: @sokawaytz_…

OFFICIAL | Klabu ya Yanga SC Imethibitisha kukamilisha uhamisho wa Beki wa kushoto kutoka Zanzibar katika klabu ya Malindi FC, Muharami Issa “Marcelo” kwa Mkataba wa Miaka Mitatu..

.

– Kama kumbukumbu unazo mdau, Beki huyo Alitambulishwa na Klabu ya Singida United siku Sita zilizopita kwa Mkataba wa Miaka Mitatu Pia… lakini hii leo kafanyiwa vipimo vya afya na Kusaini Mkataba Mitaa ya Jangwani na kupewa Jezi Namba Mbili kabla yake ilikuwa ikivaliwa na Gadiel Michael Mbaga aliyemaliza Mkataba na Mabingwa hao wa Kihistoria..

#TPLTransferUpdates #TPLUpdates

Leicester city yakomaa na Samata

credit: @josephjosey10_…

Hii ni page ya tetesi based in Leicester City rumors na Gossip ikiripoti kuwa Leicester City imetuma offer Recing Genk ili kupata huduma ya Mtanzania Mbwana Ally Samatta. Je, nyota huyu akubali kuachana na nafasi ya kucheza klabu bingwa ulaya msimu ujao na akapambanie namba na Jamie Vardy???

::

::

Follow @josephjosey10_

::

::

#full_sokaupdates

#90sportsplusupdates #soka #sokaonlineupdates #sokaonline #sokaliveupdates #sevilla #spain #laliga #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #shaffihdauda #shaffihdaudawebsite #millardayo #millardayosports #millardayoupdates #YangaMpya #yangasc #yanga #yangascbingwaupdates #simbasc #simbanguvumoja #simba #SimbaRaha #michezohalisiupdates #michezoonlineupdates #michezo #tanzaniapremierleague #tanzaniapremierleague🇹🇿 #zamuyetuafcon2019🇹🇿