
credit: @sokawaytz_…
OFFICIAL: Arsenal imethibitisha kuwa Mlinda lango, David Ospina amejiunga na Napoli kwa uhamisho wa Moja kwa moja kufuatia kucheza kwa mkopo msimu uliopita ndani ya klabu hiyo ya Serie A.
#SerieATransfersUpdates

credit: @sokawaytz_…
OFFICIAL: Arsenal imethibitisha kuwa Mlinda lango, David Ospina amejiunga na Napoli kwa uhamisho wa Moja kwa moja kufuatia kucheza kwa mkopo msimu uliopita ndani ya klabu hiyo ya Serie A.
#SerieATransfersUpdates

credit: @sokawaytz_…
– Mabingwa wa Ligi Kuu Nchini Kenya, Klabu ya GOR Mahia imevamia Tanzania na Kukamilisha usajili wa Nyota wawili wa Tanzania.. yatua Alliance na Singida United.
.
– K’Ogalo Imethibitisha Rasmi Kumsajili Mlinda lango David Kisu kwa Mkataba wa Miaka Mitatu akitokea Klabu ya Singida United ya mkoani Singida. Kisu mwenye umri wa Miaka 23 pia kabla ya kutua Singada amewahi kuzichezea Simba SC na Toto Africans zote za Tanzania kwa Kipindi tofauti tofauti.
.
– Wakati huo huo, Mshambuliaji wa Klabu ya Alliance FC ya Jijini Mwanza, Dickson Ambundo nae amejiunga na Mabingwa hao wa Keny kwa Mkataba wa Mkopo wa Mmoja..
#TransferNewsUpdates
@Sokawaytz_

credit: @sokawaytz_…
DONE DEAL: Mabingwa wa Ufaransa, Klabu ya PSG Sasa rasmi Imethibitisha usajili wa Kiungo wa Kimataifa wa Hispania, Ander Herrera kuwa kasaini Mkataba wa Miaka Mitano dili hilo litafikia tamati mwaka 2024. Katua klabuni hapo Kama Mchezaji huru Baada ya kumalizika kwa Mkataba wake na Manchester United.
#TransferNewsUpdates

credit: @sokaonline_…
Klabu ya Juventus ipo tayari kuwapa Manchester Utd kiasi cha €70m pamoja na mshambuliaji wake Paulo Dybala kama chambo ya kumpata kiungo wa kati Paul Pogba.
.
.
Licha ya ofa hiyo bado mabosi wa Utd wanataka dau la €150m ili kumuachia (Star)

credit: @sokaonline_…
#DealDone Klabu ya KMC imefanikiwa kumsajili kiungo mkabaji MELLY SIVIRWA raia wa Congo DR kwa Mkataba wa Miaka Miwili akitokea VITAL’O ya Burundi

credit: @sokaonline_…
#Repost @simbasctanzania Safari ya mtoto kuishi mbali na nyumbani imefikia ukingoni. Ibrahim Ajibu ameamua kufanya maamuzi sahihi ya kurudi nyumbani Msimbazi, ndio amerudi na amesaini mkataba wa miaka miwili kucheza na kuwapa furaha Wanasimba. Karibu nyumbani Ajibu #AMERUDI #Ajibu
_…
– Klabu ya Leicester City ipo hatua za mwisho kulamba dume… Kwa mujibu wa @skysports, Newcastle United imekubali dau la £30m kuuza Mshambuliaji wao matata aliyewaokoa Mara kwa Mara msimu uliopita, Ayoze Perez..
.
– Perez 25, Raia wa Hispania amekubali maslahi binafsi ya kimkataba kujiunga na The Foxes na atafanyiwa vipimo vya afya muda wowote kukamilisha dili hilo.
#EPLTransfersUpdates

credit: @sokaonline_…
#DealDone Beki YASSIN MUSTAPHA SALUM amejiunga na Polisi Tanzania akitokea Ndanda FC kwa mkataba wa mwaka mmoja.

credit: @sokaonline_…
#DealDone Aliyekuwa mshambuliaji wa Mtibwa Sugar Kelvin Sabato “Kiduku” amejiunga na Gwambina Fc inayoshiriki Ligi daraja la kwanza Tanzania FDL kwa mkataba wa mwaka mmoja.
.
.
Nyota wengine ni Ibrahim Job kutoka Lipuli Fc pamoja Raizin Hafidh akitokea Coastal Union wote wakisaini mwaka mmoja.

credit: @dimbani_leo…
Uongozi wa klabu ya Simba umemtambulisha mshambuliaji Deo Kanda aliyejiunga na timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja
Kanda anatua Simba kwa mkopo akitokea klabu ya TP Mazembe
Simba imethibitisha usajili wa nyota huyo aliyewahi kuitumikia timu ya Taifa ya DR Congo “Kazi ya kusajili wakali watakaohakikisha kikosi cha Mabingwa kinazidi kuwa tishio kwa wapinzani inaendelea” “Mshambuliaji raia wa Congo DR, Deo Kanda (29) amejiunga na Mabingwa wa nchi. “Kanda amesaini mkataba wa mwaka mmoja kukipiga Msimbazi akitokea TP Mazembe ambapo alikuwa mmoja wa wachezaji ambao waliiwezesha kushinda Ubingwa wa Afrika mwaka 2009, 2010 (aliifungia goli kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Esperance) na 2013 lakini pia akiwa ameshiriki Kombe la Dunia la Vilabu mwaka 2009, 2010, 2013”