
credit: @sokaonline_…
Klabu ya Ajax imemuongezea mkataba mpya nyota wake Dusan Tadic hadi 2023 kama mchezaji, lakini baada ya kumalizika kwa mkataba huo ataendelea kuwepo klabuni hapo hadi 2026 na atepewa moja ya kitengo.

credit: @sokaonline_…
Klabu ya Ajax imemuongezea mkataba mpya nyota wake Dusan Tadic hadi 2023 kama mchezaji, lakini baada ya kumalizika kwa mkataba huo ataendelea kuwepo klabuni hapo hadi 2026 na atepewa moja ya kitengo.

credit: @sokaonline_…
#tetesizausajili Imeelezwa kuwa kiungo wa klabu ya Simba Sc Mohamed Ibrahim amepelekwa kwa mkopo kunako klabu ya KMC FC.

credit: @dimbani_leo…
EXCLUSIVE: SIMBA YAMALIZANA NA NYOTA WATATU WA YANi
GADIEL Michael sasa rasmi ni mchezaji wa Simba akitokea Yanga ambapo amesaini kandarasi ya miaka miwili.
Gadiel anaungana na wachezaji wenzake wawili na kufikisha jumla ya wachezaji watatu ambao wametoka Yanga.
Wengine ni Ibrahim Ajib ambaye alikuwa nahodha wa kikosi cha Yanga pamoja na Beno Kakolanya ambaye alikuwa ni mlinda mlango wote wamesaini kandarasi ya miaka miwili.

credit: @sokaonline_…
#CopaAmerica 2019
. . โ Winners : Brazil๐ง๐ท
โ Fair Play Award: Brazil๐ง๐ท
โ Best Goalkeeper: Alison๐ง๐ท
โ Top GoalScorer: Everton๐ง๐ท
โ Best Player: Dani Alves๐ง๐ท .
.
Brazil Dominance ๐ช








credit: @sokawaytz_…
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
@danialves ๐ง๐ท amekuwa ni Mchezaji wa Kwanza katika Historia ya mpira wa Miguu Duniani kushinda Jumla ya Mataji 4๏ธโฃ0๏ธโฃ.
3x ๐ UCL
2x ๐ UEL
4x ๐ช๐บ Supercup
3x ๐ Club World Cup
6x ๐ช๐ธ La Liga
5x ๐ช๐ธ Supercup
5x ๐ช๐ธ CDR
1x ๐ฎ๐น Serie A
1x ๐ฎ๐น Cup
2x ๐ซ๐ท Ligue 1
2x ๐ซ๐ท Supercup
1x ๐ซ๐ท Cup
1x ๐ซ๐ท League Cup
2x ๐ Confed Cup
2x ๐ Copa America
๐คฏ Wow.
#championsleague #Laliga #ligue1 #seriea #CopaAmerica #europaleague.

credit: @sokawaytz_…
BREAKING NEWS
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeanza mchakato wa kumpata kocha wa muda atakayeiongoza Taifa Stars katika mechi za kufuzu CHAN dhidi ya Kenya.
TFF imefikia hatua hiyo baada ya kukubaliana kuachana na Kocha Mnigeria, Emmanuel Amunike kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufanya vรญbaya kwenye AFCON.
Reposted from @giftmacha_official

credit: @sokawaytz_…
OFFICIAL | Klabu ya JKT Tanzania imeendelea kusuka Kikosi chake kuelekea msimu moya wa ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukamilisha Usajili wa Beki Iddy Mobby kwa Mkataba wa Mwaka mmoja. Msimu uliopita kiraka huyo alichezea Mwadui FC.
.
– Wakati huo huo, Hassan Nassor Maulid amejiunga na Polisi Tanzania kwa mkataba wa Miaka Miwili akitokea Ndanda FC ya Mtwara ambayo Wachezaji wake waliokuwa nao msimu uliopita wanazidi kupukutika..
#TPLTransferUpdates #TPLUpdates

credit: @sokawaytz_…
– Algeria ๐ฉ๐ฟ ina Washambuliaji hatari ambao kwa ujumla wamefunga Magoli Tisa mpaka hatua walipo wakivuka 16 Bora kwenda Robo fainali, Pia wana Mabeki Bora ambao mpaka hatua hii hawajaruhusu kufungwa Goli hata moja kwenye AFCON 2019.
.
– Algeria ndio timu Pekee ambayo bado haijaruhusu kufungwa Goli katika Michuano ya Mataifa ya Afrika, Pia ndio timu Pekee ambayo imefunga Magoli mengi zaidi katika Michuano.
#AFCONUpdates #TotalAFCON2019
@Sokawaytz_

credit: @sokaonline_…
Paulo Dybala jana aliibuka mchezaji bora wa mechi “Man Of The Match” katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Copa America dhidi ya Chile. .
.
Argentina walishinda 2-1 mabao yakifungwa na Dybala na Aguero wakati la Chile likifungwa na Arturo Vidal kwa mkwaju wa penati.