Hawa ndio Mabingwa wa Afrika Mashariki. ๐ฐ๐ช Gor Mahia ๐ง๐ฎ Aigle Noir ๐น๐ฟ Simba sc ๐ท๐ผ Rayon Sports ๐บ๐ฌ KCCA
credit: @spotiripota

Hawa ndio Mabingwa wa Afrika Mashariki. ๐ฐ๐ช Gor Mahia ๐ง๐ฎ Aigle Noir ๐น๐ฟ Simba sc ๐ท๐ผ Rayon Sports ๐บ๐ฌ KCCA
credit: @spotiripota

Magazeti ya #Tanzania leo May 27, 2019 yote tayari




Gazeti la The Mirror limeripoti kwamba kocha wa zamani wa Man United, Sir Alex Ferguson alikuwa anataka Club hiyo iimpe kazi ya ukocha wa Club hiyo Mauricio Pochettino badala ya Solskjaer, inaelezwa pia Furguson โanaumiaโ vile ambavyo Mabosi wa United hawafuati tena maoni yake. #GlobalPublishersUpdates
VALENCIA MABINGWA WA COPA DEL REY 2018/19
.
Full Time : Barcelona 1-2 Valencia
. | Messi 73โ | Gameiro 21โ Rodrigo 33โ|
credit: @worldsport_14
“Amekuwa na msimu mzuri na anapambana muda wote, nadhani ataweza kufunga mabao mawili katika mchezo uliobaki na kuifikia rekodi ya Abdallah Juma nasi wachezaji tutamsaidia kwakua tunashirikiana sana,” Nahodha wa Simba, John Bocco akimzungumzia Meddie Kagere kuelekea kufikia rekodi ya ufungaji ya Abdallah Juma kwenye ligi kuu. Kwa sasa Kagere ana mabao 23.
credit: @simbamakini
โ Emmanuel Okwi juu ya Ujumbe wake katika mtandao wa Instagram uliozua sintofahamu kwa Mashabiki wake na Klabu yake ya @simbasctanzania kwamba je ni kweli ameaga kuachana Mabingwa hao.
:
๐ “Nimeweka ujumbe huo sikuwa na maana yoyote zaidi ya wimbo mmoja ambao naupenda na umejizolea umaarufu na wapenzi wa Simba wasiwe na wasiwasi wowote kuhusu hilo,” alisema Okwi.
.
– Okwi amekuwa akihusishwa kutimka ndani ya Klabu ya @simbasctanzania Kipindi hiki ambacho Mazungumzo ya Kusaini Mkataba mpya na Klabu yake yamepungua.. @kcfcofficial ya Afrika Kusini ndio Klabu inayotajwa kumuhitaji.
#simbasc #transfers
@Sokawaytz
credit: @sokawaytz
Breaking | N’golo Kante mbioni kuukosa mchezo wa fainali ya Europa League dhidi ya Arsenal baada ya kuumia kifundo cha mguu akiwa mazoezini leo..
credit: @sokaonline_


Michuano ya #CastleLager #Africa5s imerejea tena kwa msimu wa pili na mwaka huu inafanyika hapa hapa nchini Tanzania.
โขโขโข
USIKOSE siku ya uzinduzi wa michuano hiyo Tarehe 8/6 Ndani ya Uwanja wa Uhuru Jijini Dar Es Salaam ambapo Gwiji wa Soka Duniani Samuel Etoo atakuwepo.
โขโขโข
Burudani ya Muziki itakuwepo kutoka kwa @officialalikiba @harmonize_tz na @officialnandy
โขโขโข
Kiingilio kitakuwa ni ‘BURE ‘
….
Ratiba ya uzinduzi.
๐: #CastleLager #Africa5s.
๐ค: Kuanzia Saa 4:00 Asubuhi.
๐: Uwanja wa Uhuru.
๐ค: @officialalikiba @harmonize_tz @officialnandy
๐ต: BURE.
@castlelagertz #CastleLager #Africa5s #kfs #Kitaakimetuamini
credit: @tv1tanzania

Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta akiwasili tayari kujiunga na Timu ya Taifa @Taifastars_ kujiandaa na Michuano ya Afcon itakayofanyika Misri. @samagoal77
credit: @taifastars_

– Kwa mujibu wa @skysports, Klabu ya Manchester United Imejitoa katika mbio za kumuwania Beki na nahodha wa Klabu ya Ajax, Matthijs de Ligt.
.
– 
Kwa mujibu wa vyanzo, United ilikuwa tayari kutoa ยฃ65m kuinasa saini ya Beki huyo wa timu ya taifa ya Uholanzi mwenye umri wa miaka 19; United imejitoa rasmi kumuwania De Ligt, hivyo kuna uwezekana mkubwa kwa nyota huyo kujiunga na Mabingwa wa Hispania Klabu ya FC Barcelona..
#transfers
credit: @sokawaytz